Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.022 saat)
#1
Al-A'raf
:86
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Wala
msikae
katika
kila
njia
mkitisha
watu,
na
kuwazuilia
na
Njia
ya
Mwenyezi
Mungu
wale
wenye
kumuamini,
na
mkataka
njia
ipotoke.
Na
kumbukeni
mlipo
kuwa
wachache,
naye
akakufanyeni
kuwa
wengi.
Na
tazameni
jinsi
ulivyo
kuwa
mwisho
wa
mafisadi.
]
[ ولا تقعدوا بكل صراط توعدون وتصدون عن سبيل الله من آمن به وتبغونها عوجا واذكروا إذ كنتم قليلا فكثركم وانظروا كيف كان عاقبة المفسدين ] — الأعراف 86