Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.023 saat)
#1
An-Nisa'
:129
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Wala
hamtaweza
kufanya
uadilifu
baina
ya
wake,
hata
mkikakamia.
Kwa
hivyo
msimili
moja
kwa
moja
mkamwacha
(mmojapo)
kama
aliye
tundikwa.
Na
mkisikizana
na
mkamchamngu
basi
Mwenyezi
Mungu
ni
Mwingi
wa
maghfira
na
Mwenye
kurehemu.
]
[ ولن تستطيعوا أن تعدلوا بين النساء ولو حرصتم فلا تميلوا كل الميل فتذروها كالمعلقة وإن تصلحوا وتتقوا فإن الله كان غفورا رحيما ] — النساء 129