Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 2 daripada 2 )
(0.022 saat)
#1
Al Imran
:186
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Hapana
shaka
yoyote
mtapata
misukosuko
katika
mali
zenu
na
nafsi
zenu,
na
bila
ya
shaka
yoyote
mtasikia
udhia
mwingi
kutokana
na
walio
pewa
Kitabu
kabla
yenu
na
wale
walio
shiriki.
Na
ikiwa
mtasubiri
na
mkamchamngu
basi
hakika
hayo
ni
katika
mambo
ya
kuazimia.
]
[ لتبلون في أموالكم وأنفسكم ولتسمعن من الذين أوتوا الكتاب من قبلكم ومن الذين أشركوا أذى كثيرا وإن تصبروا وتتقوا فإن ذلك من عزم الأمور ] — آل عمران 186
#2
Yunus
:85
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Wakasema:
Tunamtegemea
Mwenyezi
Mungu.
Ewe
Mola
wetu
Mlezi!
Usitufanye
wenye
kutiwa
misukosuko
na
hao
watu
madhaalimu.
]
[ فقالوا على الله توكلنا ربنا لا تجعلنا فتنة للقوم الظالمين ] — يونس 85