Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 2 daripada 2 )
(0.022 saat)
#1
Fussilat
:12
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Basi
akazifanya
mbingu
saba
kwa
siku
mbili,
na
akazipangia
kila
mbingu
mambo
yake.
Na
tukaipamba
mbingu
ya
chini
kwa
mataa
na
kwa
ulinzi.
Hichi
ndicho
kipimo
cha
Mwenyezi
Mungu
Mwenye
Kujua.
]
[ فقضاهن سبع سماوات في يومين وأوحى في كل سماء أمرها وزينا السماء الدنيا بمصابيح وحفظا ذلك تقدير العزيز العليم ] — فصلت 12
#2
Al-Mulk
:5
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
kwa
hakika
tumeipamba
mbingu
ya
karibu
kwa
mataa,
na
tumeyafanya
ili
kuwapigia
mashetani,
na
tumewaandalia
adhabu
ya
Moto
uwakao
kwa
nguvu.
]
[ ولقد زينا السماء الدنيا بمصابيح وجعلناها رجوما للشياطين وأعتدنا لهم عذاب السعير ] — الملك 5