Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.023 saat)
#1
Al-Hadid
:27
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Tena
tukafuatisha
nyuma
yao
Mitume
wengine,
na
tukamfuatisha
Isa
bin
Mariamu,
na
tukampa
Injili.
Na
tukajaalia
katika
nyoyo
za
walio
mfuata
upole
na
rehema.
Na
umonaki
(utawa
wa
mapadri)
wameuzua
wao.
Sisi
hatukuwaandikia
hayo,
ila
kutafuta
radhi
za
Mwenyezi
Mungu.
Lakini
hawakuufuata
inavyo
takiwa
kuufuata.
Basi
wale
walio
amini
katika
wao
tuliwapa
ujira
wao.
Na
wengi
wao
ni
wapotovu.
]
[ ثم قفينا على آثارهم برسلنا وقفينا بعيسى ابن مريم وآتيناه الإنجيل وجعلنا في قلوب الذين اتبعوه رأفة ورحمة ورهبانية ابتدعوها ما كتبناها عليهم إلا ابتغاء رضوان الله فما رعوها حق رعايتها فآتينا الذين آمنوا منهم أجرهم وكثير منهم فاسقون ] — الحديد 27