Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.026 saat)
#1
Al-A'raf
:53
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Je,
lipo
wanalo
lingojea
isipo
kuwa
matokeo
yake?
Siku
yatapo
fika
matokeo
yake
watasema
wale
walio
kisahau:
Kweli
Mitume
wa
Mola
Mlezi
wetu
walileta
Haki!
Je,
tunao
waombezi
ili
watuombee?
Au
turudishwe
ili
tufanye
yasiyo
kuwa
yale
tuliyo
kuwa
tukiyafanya?
Bila
ya
shaka
wamejikhasiri
nafsi
zao,
na
yamewapotea
waliyo
kuwa
wakiyazua.
]
[ هل ينظرون إلا تأويله يوم يأتي تأويله يقول الذين نسوه من قبل قد جاءت رسل ربنا بالحق فهل لنا من شفعاء فيشفعوا لنا أو نرد فنعمل غير الذي كنا نعمل قد خسروا أنفسهم وضل عنهم ما كانوا يفترون ] — الأعراف 53