Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.038 saat)
#1
An-Nisa'
:113
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
lau
kuwa
si
fadhila
ya
Mwenyezi
Mungu
juu
yako
na
rehema
yake,
kundi
moja
kati
yao
linge
dhamiria
kukupoteza.
Wala
hawapotezi
ila
nafsi
zao,
wala
hawawezi
kukudhuru
kwa
lolote.
Na
Mwenyezi
Mungu
amekuteremshia
Kitabu
na
hikima
na
amekufundisha
uliyo
kuwa
huyajui.
Na
fadhila
za
Mwenyezi
Mungu
zilizo
juu
yako
ni
kubwa.
]
[ ولولا فضل الله عليك ورحمته لهمت طائفة منهم أن يضلوك وما يضلون إلا أنفسهم وما يضرونك من شيء وأنزل الله عليك الكتاب والحكمة وعلمك ما لم تكن تعلم وكان فضل الله عليك عظيما ] — النساء 113