Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.029 saat)
#1
Al-Kahf
:17
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
unaliona
jua
linapo
chomoza
linainamia
kuliani
mwao
kutoka
hapo
pangoni;
na
linapo
kuchwa
linawakwepa
kushotoni,
na
wao
wamo
katika
uwazi
wa
pango.
Hizo
ni
katika
ishara
za
Mwenyezi
Mungu.
Ambaye
Mwenyezi
Mungu
anamwongoa
basi
huyo
ni
mwenye
kuongoka.
Na
anaye
muacha
kupotea
basi
hutampatia
mlinzi
wala
mwongozi.
]
[ وترى الشمس إذا طلعت تزاور عن كهفهم ذات اليمين وإذا غربت تقرضهم ذات الشمال وهم في فجوة منه ذلك من آيات الله من يهد الله فهو المهتد ومن يضلل فلن تجد له وليا مرشدا ] — الكهف 17