Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.023 saat)
#1
Yusuf
:31
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Alipo
sikia
yule
bibi
masengenyo
yao
aliwaita,
na
akawawekea
matakia
ya
kuegemea,
na
akampa
kila
mmoja
wao
kisu.
Akamwambia
Yusuf:
Tokeza
mbele
yao.
Basi
walipo
mwona
waliona
ni
kitu
kikubwa
kabisa,
na
wakajikata
mikono
yao.
Wakasema:
Hasha
Lillahi!
Huyu
si
mwanaadamu.
Hakuwa
huyu
ila
ni
Malaika
mtukufu.
]
[ فلما سمعت بمكرهن أرسلت إليهن وأعتدت لهن متكأ وآتت كل واحدة منهن سكينا وقالت اخرج عليهن فلما رأينه أكبرنه وقطعن أيديهن وقلن حاش لله ما هذا بشرا إن هذا إلا ملك كريم ] — يوسف 31