Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.022 saat)
#1
Al-An'am
:14
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Sema:
Je,
nimchukue
rafiki
mlinzi
asiye
kuwa
Mwenyezi
Mungu,
ambaye
ndiye
Muumba
mbingu
na
ardhi,
naye
ndiye
anaye
lisha
wala
halishwi?
Sema:
Mimi
nimeamrishwa
niwe
wa
kwanza
wa
wenye
kusilimu.
Na
wala
kabisa
usiwe
miongoni
wa
washirikina.
]
[ قل أغير الله أتخذ وليا فاطر السماوات والأرض وهو يطعم ولا يطعم قل إني أمرت أن أكون أول من أسلم ولا تكونن من المشركين ] — الأنعام 14