Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.023 saat)
#1
Al-Ma'idah
:64
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
Mayahudi
walisema:
Mkono
wa
Mwenyezi
Mungu
umefumba.
Mikono
yao
ndiyo
iliyo
fumba,
na
wamelaaniwa
kwa
sababu
ya
waliyo
yasema.
Bali
mikono
yake
iwazi.
Hutoa
apendavyo.
Kwa
yakini
yaliyo
teremshwa
kwako
kutoka
kwa
Mola
wako
Mlezi
yatawazidisha
wengi
katika
wao
uasi
na
kufuru.
Na
Sisi
tumewatilia
uadui
na
chuki
baina
yao
mpaka
Siku
ya
Kiyama.
Kila
mara
wanapo
washa
moto
wa
vita,
Mwenyezi
Mungu
anauzima.
Na
wanajitahidi
kuleta
uharibifu
katika
ardhi.
Na
Mwenyezi
Mungu
hawapendi
waharibifu.
]
[ وقالت اليهود يد الله مغلولة غلت أيديهم ولعنوا بما قالوا بل يداه مبسوطتان ينفق كيف يشاء وليزيدن كثيرا منهم ما أنزل إليك من ربك طغيانا وكفرا وألقينا بينهم العداوة والبغضاء إلى يوم القيامة كلما أوقدوا نارا للحرب أطفأها الله ويسعون في الأرض فسادا والله لا يحب المفسدين ] — المائدة 64