Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.053 saat)
#1
Al-Baqarah
:230
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
kama
amempa
t'alaka
(ya
tatu)
basi
si
halali
kwake
baada
ya
hayo
mpaka
aolewe
na
mume
mwengine.
Na
akiachwa
basi
hapana
ubaya
kwao
kurejeana
wakiona
kuwa
watashikamana
na
mipaka
ya
Mwenyezi
Mungu.
Na
hii
ni
mipaka
ya
Mwenyezi
Mungu
anayo
ibainisha
kwa
watu
wanao
jua.
]
[ فإن طلقها فلا تحل له من بعد حتى تنكح زوجا غيره فإن طلقها فلا جناح عليهما أن يتراجعا إن ظنا أن يقيما حدود الله وتلك حدود الله يبينها لقوم يعلمون ] — البقرة 230