Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.039 saat)
#1
Al-An'am
:125
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Basi
yule
ambaye
Mwenyezi
Mungu
anataka
kumhidi
humfungulia
kifua
chake
kwa
Uislamu.
Na
anaye
taka
apotee
hukifanya
kifua
chake
kina
dhiki,
kimebana,
kama
kwamba
anapanda
mbinguni.
Namna
hivi
Mwenyezi
Mungu
anajaalia
uchafu
juu
ya
wasio
amini.
]
[ فمن يرد الله أن يهديه يشرح صدره للإسلام ومن يرد أن يضله يجعل صدره ضيقا حرجا كأنما يصعد في السماء كذلك يجعل الله الرجس على الذين لا يؤمنون ] — الأنعام 125