Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 4 daripada 4 )
(0.025 saat)
#1
Al-Ahzab
:5
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Waiteni
kwa
baba
zao,
maana
huo
ndio
uadilifu
zaidi
mbele
ya
Mwenyezi
Mungu.
Na
ikiwa
hamwajui
baba
zao,
basi
ni
ndugu
zenu
katika
Dini,
na
rafiki
zenu.
Wala
si
lawama
juu
yenu
kwa
mlivyo
kosea.
Lakini
ipo
lawama
katika
yale
ziliyo
fanya
nyoyo
zenu
kwa
makusudi.
Na
Mwenyezi
Mungu
ni
Mwenye
kusamehe,
Mwenye
kurehemu.
]
[ ادعوهم لآبائهم هو أقسط عند الله فإن لم تعلموا آباءهم فإخوانكم في الدين ومواليكم وليس عليكم جناح فيما أخطأتم به ولكن ما تعمدت قلوبكم وكان الله غفورا رحيما ] — الأحزاب 5
#2
Al-Kahf
:52
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
#3
Hud
:13
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
#4
Al-Qasas
:64
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
itasemwa:
Waiteni
hao
miungu
wa
kishirikina
wenu!
Basi
watawaita,
lakini
hawatawaitikia,
na
wataiona
adhabu;
laiti
wangeli
kuwa
wameongoka!
]
[ وقيل ادعوا شركاءكم فدعوهم فلم يستجيبوا لهم ورأوا العذاب لو أنهم كانوا يهتدون ] — القصص 64