Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 2 daripada 2 )
(0.023 saat)
#1
Ta-ha
:40
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Dada
yako
alipo
kwenda
na
akasema:
Je!
Nikujuulisheni
mtu
wa
kuweza
kumlea?
Basi
tukakurejesha
kwa
mama
yako
ili
macho
yake
yaburudike,
wala
asihuzunike.
Na
ulimuuwa
mtu,
nasi
tukakuokoa
katika
dhiki,
na
tukakujaribu
kwa
majaribio
mengi.
Ukakaa
miaka
kwa
watu
wa
Madyana.
Kisha
ukaja
kama
ilivyo
kadiriwa,
ewe
Musa!
]
[ إذ تمشي أختك فتقول هل أدلكم على من يكفله فرجعناك إلى أمك كي تقر عينها ولا تحزن وقتلت نفسا فنجيناك من الغم وفتناك فتونا فلبثت سنين في أهل مدين ثم جئت على قدر يا موسى ] — طه 40
#2
Ash-Sh'araa
:18
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani