Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.037 saat)
#1
Al-Baqarah
:158
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Hakika
vilima
vya
Safaa
na
Marwa
ni
katika
alama
za
Mwenyezi
Mungu.
Basi
anaye
hiji
kwenye
Nyumba
hiyo
au
akafanya
Umra,
si
kosa
kwake
kuvizunguka.
Na
anaye
jitendea
mwenyewe
kheri
basi
bila
ya
shaka
Mwenyezi
Mungu
ni
Mwenye
shukrani
na
Mjuzi.
]
[ إن الصفا والمروة من شعائر الله فمن حج البيت أو اعتمر فلا جناح عليه أن يطوف بهما ومن تطوع خيرا فإن الله شاكر عليم ] — البقرة 158