Filter Results
Keputusan: ( 1 sehingga 1 daripada 1 )
(0.025 saat)
#1
Al Imran
:81
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
pale
Mwenyezi
Mungu
alipo
chukua
ahadi
kwa
Manabii:
Nikisha
kupeni
Kitabu
na
hikima,
kisha
akakujieni
Mtume
mwenye
kusadikisha
mliyo
nayo,
ni
juu
yenu
mumuamini
na
mumsaidie.
Akasema:
Je,
mmekiri
na
mmekubali
kushika
agizo
langu
juu
ya
hayo?
Wakasema:
Tumekubali.
Akasema:
Basi
shuhudieni,
na
Mimi
ni
pamoja
nanyi
katika
kushuhudia.
]
[ وإذ أخذ الله ميثاق النبيين لما آتيتكم من كتاب وحكمة ثم جاءكم رسول مصدق لما معكم لتؤمنن به ولتنصرنه قال أأقررتم وأخذتم على ذلكم إصري قالوا أقررنا قال فاشهدوا وأنا معكم من الشاهدين ] — آل عمران 81