Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.038 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Yunus
:23
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Lakini
akisha
waokoa,
mara
wanafanya
jeuri
tena
katika
nchi
bila
ya
haki.
Enyi
watu!
Jeuri
zenu
zitakudhuruni
wenyewe.
Hii
ni
starehe
ya
maisha
ya
dunia
tu.
Kisha
marejeo
yenu
ni
kwetu,
na
hapo
tutakuambieni
mliyo
kuwa
mkiyatenda.
]
[ فلما أنجاهم إذا هم يبغون في الأرض بغير الحق يا أيها الناس إنما بغيكم على أنفسكم متاع الحياة الدنيا ثم إلينا مرجعكم فننبئكم بما كنتم تعملون ] — يونس 23