Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 2 ന്റെ 2 )
(0.020 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Luqman
:27
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
lau
kuwa
miti
yote
iliyomo
duniani
ikawa
ni
kalamu,
na
bahari
(ikawa
wino),
na
ikaongezewa
juu
yake
bahari
nyengine
saba,
maneno
ya
Mwenyezi
Mungu
yasingeli
kwisha.
Hakika
Mwenyezi
Mungu
ni
Mwenye
nguvu,
Mwenye
hikima.
]
[ ولو أنما في الأرض من شجرة أقلام والبحر يمده من بعده سبعة أبحر ما نفدت كلمات الله إن الله عزيز حكيم ] — لقمان 27
#2
Al-Ma'idah
:36
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Hakika
walio
kufuru
lau
wange
kuwa
na
yote
yaliyomo
duniani,
na
mengine
kama
hayo,
ili
watoe
fidia
ya
kuepukana
na
adhabu
ya
Siku
ya
Kiyama,
yasingeli
pokelewa
kwao;
na
watapata
adhabu
chungu.
]
[ إن الذين كفروا لو أن لهم ما في الأرض جميعا ومثله معه ليفتدوا به من عذاب يوم القيامة ما تقبل منهم ولهم عذاب أليم ] — المائدة 36