Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 2 ന്റെ 2 )
(0.021 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al-Hajj
:34
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
kila
umma
tumewafanyia
mahala
pa
kuchinjia
mihanga
ya
ibada
ili
walitaje
jina
la
Mwenyezi
Mungu
juu
ya
vile
walivyo
ruzukiwa
katika
wanyama
wa
mifugo.
Basi
Mungu
wenu
ni
Mungu
Mmoja
tu.
Jisalimishieni
kwake
tu,
na
wabashirie
wanyenyekevu,
]
[ ولكل أمة جعلنا منسكا ليذكروا اسم الله على ما رزقهم من بهيمة الأنعام فإلهكم إله واحد فله أسلموا وبشر المخبتين ] — الحج 34
#2
Al-Hajj
:28
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Ili
washuhudie
manufaa
yao
na
walitaje
jina
la
Mwenyezi
Mungu
katika
siku
maalumu
juu
ya
nyama
hoa
alio
waruzuku.
Basi
kuleni
katika
hao
na
mlisheni
mwenye
shida
aliye
fakiri.
]
[ ليشهدوا منافع لهم ويذكروا اسم الله في أيام معلومات على ما رزقهم من بهيمة الأنعام فكلوا منها وأطعموا البائس الفقير ] — الحج 28