Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.027 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al-Ma'idah
:93
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Si
dhambi
juu
ya
walio
amini
na
wakatenda
mema
kwa
walivyo
vila
(zamani)
maadamu
wakichamngu
na
wakiamini
na
wakitenda
mema,
kisha
wakachamngu,
na
wakaamini,
kisha
wakachamngu
na
wakafanya
mazuri.
Na
Mwenyezi
Mungu
huwapenda
wafanyao
mazuri.
]
[ ليس على الذين آمنوا وعملوا الصالحات جناح فيما طعموا إذا ما اتقوا وآمنوا وعملوا الصالحات ثم اتقوا وآمنوا ثم اتقوا وأحسنوا والله يحب المحسنين ] — المائدة 93