Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 2 ന്റെ 2 )
(0.046 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al-A'raf
:176
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
tungelitaka
tungeli
mtukuza
kwa
hizo
Ishara,
lakini
yeye
aliushikilia
ulimwengu
na
akafuata
pumbao
lake.
Basi
mfano
wake
ni
mfano
wa
mbwa.
Ukimhujumu
hupumua
na
kutoa
ulimi
na
ukimwacha
pia
hupumua
na
kutoa
ulimi.
Huo
ni
mfano
wa
kaumu
wanao
zikanusha
Ishara
zetu.
Basi
simulia
hadithi,
huenda
wakatafakari.
]
[ ولو شئنا لرفعناه بها ولكنه أخلد إلى الأرض واتبع هواه فمثله كمثل الكلب إن تحمل عليه يلهث أو تتركه يلهث ذلك مثل القوم الذين كذبوا بآياتنا فاقصص القصص لعلهم يتفكرون ] — الأعراف 176
#2
Al Imran
:137
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani