Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.030 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al-Baqarah
:144
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Kwa
yakini
tukiona
unavyo
geuza
geuza
uso
wako
mbinguni.
Basi
tutakuelekeza
kwenye
Kibla
ukipendacho.
Basi
elekeza
uso
wako
upande
wa
Msikiti
Mtakatifu;
na
popote
mnapokuwa
zielekezeni
nyuso
zenu
upande
huo;
na
hakika
wale
walio
pewa
Kitabu
wanajua
kwamba
hiyo
ni
haki
itokayo
kwa
Mola
wao
Mlezi.
Na
Mwenyezi
Mungu
si
mwenye
kughafilika
na
yale
wanayo
yatenda.
]
[ قد نرى تقلب وجهك في السماء فلنولينك قبلة ترضاها فول وجهك شطر المسجد الحرام وحيث ما كنتم فولوا وجوهكم شطره وإن الذين أوتوا الكتاب ليعلمون أنه الحق من ربهم وما الله بغافل عما يعملون ] — البقرة 144