Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.030 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al-An'am
:71
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Sema:
Je,
tumuombe
asiye
kuwa
Mwenyezi
Mungu
ambae
hatufai
wala
hatudhuru,
na
turejee
nyuma
baada
ya
Mwenyezi
Mungu
kwisha
tuhidi?
Tuwe
kama
ambao
mashet'ani
wamempumbaza
katika
ardhi,
amebabaika?
Anao
marafiki
wanao
mwita
ende
kwenye
uwongofu,
wakimwambia:
Njoo
kwetu!
Sema:
Hakika
uwongofu
wa
Mwenyezi
Mungu
ndio
Uwongofu.
Nasi
tumeamrishwa
tusilimu
kwa
Mola
Mlezi
wa
viumbe
vyote,
]
[ قل أندعو من دون الله ما لا ينفعنا ولا يضرنا ونرد على أعقابنا بعد إذ هدانا الله كالذي استهوته الشياطين في الأرض حيران له أصحاب يدعونه إلى الهدى ائتنا قل إن هدى الله هو الهدى وأمرنا لنسلم لرب العالمين ] — الأنعام 71