Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.022 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al-Hujurat
:12
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Enyi
mlio
amini!
Jiepusheni
na
dhana
nyingi,
kwani
baadhi
ya
dhana
ni
dhambi.
Wala
msipelelezane,
wala
msisengenyane
nyinyi
kwa
nyinyi.
Je!
Yupo
katika
nyinyi
anaye
penda
kuila
nyama
ya
nduguye
aliye
kufa?
Mnalichukia
hilo!
Na
mcheni
Mwenyezi
Mungu.
Hakika
Mwenyezi
Mungu
ni
Mwenye
kupokea
toba,
Mwenye
kurehemu.
]
[ يا أيها الذين آمنوا اجتنبوا كثيرا من الظن إن بعض الظن إثم ولا تجسسوا ولا يغتب بعضكم بعضا أيحب أحدكم أن يأكل لحم أخيه ميتا فكرهتموه واتقوا الله إن الله تواب رحيم ] — الحجرات 12