Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.022 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Ghafir
:34
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
alikwisha
wajieni
Yusuf
zamani
kwa
dalili
zilizo
wazi,
lakini
nyinyi
mliendelea
katika
shaka
kwa
yale
aliyo
kuleteeni;
mpaka
alipo
kufa
mkasema:
Mwenyezi
Mungu
hataleta
kabisa
Mtume
baada
yake.
Kama
hivyo
Mwenyezi
Mungu
humwacha
kupotea
anaye
pindukia
mipaka
katika
maasi
anaye
jitia
shaka.
]
[ ولقد جاءكم يوسف من قبل بالبينات فما زلتم في شك مما جاءكم به حتى إذا هلك قلتم لن يبعث الله من بعده رسولا كذلك يضل الله من هو مسرف مرتاب ] — غافر 34