Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 2 ന്റെ 2 )
(0.023 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al-Ahzab
:37
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
ulipo
mwambia
yule
Mwenyezi
Mungu
aliye
mneemesha,
nawe
ukamneemesha:
Shikamana
na
mkeo,
na
mche
Mwenyezi
Mungu.
Na
ukaficha
nafsini
mwako
aliyo
taka
Mwenyezi
Mungu
kuyafichua,
nawe
ukawachelea
watu,
hali
Mwenyezi
Mungu
ndiye
mwenye
haki
zaidi
kumchelea.
Basi
Zaid
alipo
kwisha
haja
naye
tulikuoza
wewe,
ili
isiwe
taabu
kwa
Waumini
kuwaoa
wake
wa
watoto
wao
wa
kupanga
watapo
kuwa
wamekwisha
timiza
nao
shuruti
za
t'alaka.
Na
amri
ya
Mwenyezi
Mungu
ni
yenye
kutekelezwa.
]
[ وإذ تقول للذي أنعم الله عليه وأنعمت عليه أمسك عليك زوجك واتق الله وتخفي في نفسك ما الله مبديه وتخشى الناس والله أحق أن تخشاه فلما قضى زيد منها وطرا زوجناكها لكي لا يكون على المؤمنين حرج في أزواج أدعيائهم إذا قضوا منهن وطرا وكان أمر الله مفعولا ] — الأحزاب 37
#2
Al-Ahzab
:1
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani