Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.023 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al-Baqarah
:90
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Kiovu
kweli
walicho
jiuzia
nafsi
zao,
nacho
ni
kule
kukataa
kwao
aliyo
yateremsha
Mwenyezi
Mungu,
kwa
ajili
ya
kuona
maya
kwa
kuwa
Mwenyezi
Mungu
humteremshia
fadhila
yake
amtakaye
miongoni
mwa
waja
wake.
Basi
wamejiletea
wenyewe
ghadhabu
juu
ya
ghadhabu.
Na
makafiri
watapata
mateso
ya
kudhalilisha.
]
[ بئسما اشتروا به أنفسهم أن يكفروا بما أنزل الله بغيا أن ينزل الله من فضله على من يشاء من عباده فباءوا بغضب على غضب وللكافرين عذاب مهين ] — البقرة 90