Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.032 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Ar-Ra'd
:17
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Ameteremsha
maji
kutoka
mbinguni.
Na
mabonde
yakamiminika
maji
kwa
kadiri
yake.
Na
mafuriko
yakachukua
mapovu
yaliyo
kusanyika
juu
yake.
Na
kutokana
na
wanavyo
yayusha
katika
moto
kwa
kutaka
mapambo
au
vyombo
hutokea
povu
vile
vile.
Namna
hivyo
Mwenyezi
Mungu
ndivyo
anavyo
piga
mifano
ya
Haki
na
baat'ili.
Basi
lile
povu
linapita
kama
takataka
tu
basi.
Ama
kinacho
wafaa
watu
hubakia
kwenye
ardhi.
Hivi
ndivyo
Mwenyezi
Mungu
anavyo
piga
mifano.
]
[ أنزل من السماء ماء فسالت أودية بقدرها فاحتمل السيل زبدا رابيا ومما يوقدون عليه في النار ابتغاء حلية أو متاع زبد مثله كذلك يضرب الله الحق والباطل فأما الزبد فيذهب جفاء وأما ما ينفع الناس فيمكث في الأرض كذلك يضرب الله الأمثال ] — الرعد 17