Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 5 ന്റെ 5 )
(0.022 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Yunus
:19
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Wala
watu
hawakuwa
ila
Umma
mmoja
tu.
Kisha
wakakhitalifiana.
Na
lau
kuwa
si
neno
lililo
kwisha
tangulia
kutokana
na
Mola
wako
Mlezi,
hapana
shaka
hukumu
ingeli
kwisha
katwa
baina
yao
katika
hayo
wanayo
khitalifiana.
]
[ وما كان الناس إلا أمة واحدة فاختلفوا ولولا كلمة سبقت من ربك لقضي بينهم فيما فيه يختلفون ] — يونس 19
#2
Al-A'raf
:87
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
kama
liko
kundi
miongoni
mwenu
lililo
amini
haya
niliyo
tumwa,
na
kundi
jengine
halikuamini,
basi
subirini
mpaka
Mwenyezi
Mungu
ahukumu
baina
yetu.
Naye
ndiye
Mbora
wa
wenye
kuhukumu.
]
[ وإن كان طائفة منكم آمنوا بالذي أرسلت به وطائفة لم يؤمنوا فاصبروا حتى يحكم الله بيننا وهو خير الحاكمين ] — الأعراف 87
#3
Ta-ha
:129
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
#4
Sad
:6
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
#5
Ta-ha
:27
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani