Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.023 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Ar-Ra'd
:31
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
kama
ingeli
kuwako
Qur'ani
ndiyo
inayo
endeshewa
milima,
na
kupasuliwa
ardhi,
na
kusemeshewa
wafu,
(basi
ingeli
kuwa
Qur'ani
hii).
Bali
mambo
yote
ni
ya
Mwenyezi
Mungu.
Je,
hawajajua
walio
amini
kwamba
lau
kuwa
Mwenyezi
Mungu
ange
penda
bila
ya
shaka
angeli
waongoa
watu
wote?
Wala
walio
kufuru
hawaachi
kusibiwa
na
balaa
kwa
waliyo
yatenda,
au
ikawateremkia
karibu
na
nyumbani
kwao,
mpaka
ifike
ahadi
ya
Mwenyezi
Mungu.
Hakika
Mwenyezi
Mungu
havunji
miadi
yake.
]
[ ولو أن قرآنا سيرت به الجبال أو قطعت به الأرض أو كلم به الموتى بل لله الأمر جميعا أفلم ييأس الذين آمنوا أن لو يشاء الله لهدى الناس جميعا ولا يزال الذين كفروا تصيبهم بما صنعوا قارعة أو تحل قريبا من دارهم حتى يأتي وعد الله إن الله لا يخلف الميعاد ] — الرعد 31