Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.038 നിമിഷങ്ങള്)
#1
At-Tawba
:38
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Enyi
mlio
amini!
Mna
nini
mnapo
ambiwa:
Nendeni
katika
Njia
ya
Mwenyezi
Mungu,
mnajitia
uzito
katika
ardhi?
Je,
mmeridhia
maisha
ya
dunia
kuliko
ya
Akhera?
Lakini
starehe
za
maisha
ya
dunia
kulinganisha
na
ya
Akhera
ni
chache.
]
[ يا أيها الذين آمنوا ما لكم إذا قيل لكم انفروا في سبيل الله اثاقلتم إلى الأرض أرضيتم بالحياة الدنيا من الآخرة فما متاع الحياة الدنيا في الآخرة إلا قليل ] — التوبة 38