Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.027 നിമിഷങ്ങള്)
#1
At-Tahrim
:8
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Enyi
mlio
amini!
Tubuni
kwa
Mwenyezi
Mungu
toba
iliyo
ya
kweli!
Asaa
Mola
wenu
Mlezi
akakufutieni
maovu
yenu
na
akakuingizeni
katika
Pepo
zipitazo
mito
kati
yake,
siku
ambayo
Mwenyezi
Mungu
hatamdhalilisha
Nabii
na
walio
amini
pamoja
naye.
Nuru
yao
inakwenda
mbele
yao
na
pande
zao
za
kulia,
na
huku
wanasema:
Mola
wetu
Mlezi!
Tutimilizie
nuru
yetu,
na
utughufirie!
Hakika
Wewe
ni
Mwenye
uweza
juu
ya
kila
kitu.
]
[ يا أيها الذين آمنوا توبوا إلى الله توبة نصوحا عسى ربكم أن يكفر عنكم سيئاتكم ويدخلكم جنات تجري من تحتها الأنهار يوم لا يخزي الله النبي والذين آمنوا معه نورهم يسعى بين أيديهم وبأيمانهم يقولون ربنا أتمم لنا نورنا واغفر لنا إنك على كل شيء قدير ] — التحريم 8