Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.022 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al-Qasas
:25
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Basi
mmoja
katika
wale
wanawake
wawili
akamjia,
naye
anaona
haya.
Akasema:
Baba
yangu
anakwita
akulipe
ujira
wa
kutunyweshea.
Basi
alipo
mjia
na
akamsimulia
visa
vyake,
alisema:
Usiogope;
umekwisha
okoka
kwenye
watu
madhaalimu.
]
[ فجاءته إحداهما تمشي على استحياء قالت إن أبي يدعوك ليجزيك أجر ما سقيت لنا فلما جاءه وقص عليه القصص قال لا تخف نجوت من القوم الظالمين ] — القصص 25