Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.021 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Ash-Shura
:27
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
lau
kuwa
Mwenyezi
Mungu
angeli
wakunjulia
riziki
waja
wake,
basi
bila
ya
shaka
wangeli
panda
kiburi
katika
dunia.
Lakini
anaiteremsha
kwa
kipimo
akitakacho.
Hakika
Yeye
anawajua
vyema
waja
wake
na
anawaona.
]
[ ولو بسط الله الرزق لعباده لبغوا في الأرض ولكن ينزل بقدر ما يشاء إنه بعباده خبير بصير ] — الشورى 27