Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.021 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al-A'raf
:187
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Wanakuuliza
hiyo
Saa
(ya
mwisho)
itakuwa
lini?
Sema:
Kuijua
kwake
kuko
kwa
Mola
Mlezi
wangu.
Haidhihirishi
hiyo
kwa
wakati
wake
ila
Yeye.
Ni
nzito
katika
mbingu
na
ardhi.
Haikujiini
ila
kwa
ghafla
tu.
Wanakuuliza
kama
kwamba
wewe
una
pupa
ya
kuijua.
Sema:
Ujuzi
wake
uko
kwa
Mwenyezi
Mungu.
Lakini
aghlabu
ya
watu
hawajui.
]
[ يسألونك عن الساعة أيان مرساها قل إنما علمها عند ربي لا يجليها لوقتها إلا هو ثقلت في السماوات والأرض لا تأتيكم إلا بغتة يسألونك كأنك حفي عنها قل إنما علمها عند الله ولكن أكثر الناس لا يعلمون ] — الأعراف 187