Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.036 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al-Kahf
:29
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
sema:
Hii
ni
kweli
itokayo
kwa
Mola
wako
Mlezi.
Basi
atakaye,
aamini.
Na
atakaye,
akatae.
Hakika
Sisi
tumewaandalia
wenye
kudhulumu
Moto
ambao
utawazunguka
kama
khema.
Na
wakiomba
msaada
watasaidiwa
kwa
kupewa
maji
kama
mafuta
yaliyo
tibuka.
Yatayo
wababua
nyuso
zao.
Kinywaji
hicho
ni
kiovu
mno!
Na
matandiko
hayo
ya
kupumzikia
ni
maovu
mno!
]
[ وقل الحق من ربكم فمن شاء فليؤمن ومن شاء فليكفر إنا أعتدنا للظالمين نارا أحاط بهم سرادقها وإن يستغيثوا يغاثوا بماء كالمهل يشوي الوجوه بئس الشراب وساءت مرتفقا ] — الكهف 29