Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.033 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al-Baqarah
:260
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
alipo
sema
Ibrahim:
Mola
wangu
Mlezi!
Nionyeshe
vipi
unavyo
fufua
wafu.
Mwenyezi
Mungu
akasema:
Kwani
huamini?
Akasema:
Hasha!
Lakini
ili
moyo
wangu
utue.
Akamwambia:
Twaa
ndege
wane
na
uwazoeshe
kwako,
kisha
uweke
juu
ya
kila
kilima
sehemu,
kisha
wete,
watakujia
mbio.
Na
ujue
kwamba
hakika
Mwenyezi
Mungu
ni
Mtukufu
Mwenye
nguvu,
na
Mwenye
hikima.
]
[ وإذ قال إبراهيم رب أرني كيف تحيي الموتى قال أولم تؤمن قال بلى ولكن ليطمئن قلبي قال فخذ أربعة من الطير فصرهن إليك ثم اجعل على كل جبل منهن جزءا ثم ادعهن يأتينك سعيا واعلم أن الله عزيز حكيم ] — البقرة 260