Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.027 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Hud
:40
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Hata
ilipo
kuja
amri
yetu,
na
tanuri
ikafoka
maji,
tulisema:
Pakia
humo
wawili
wawili,
dume
na
jike,
kutoka
kila
aina,
na
ahali
zako,
isipo
kuwa
wale
ambao
imekwisha
wapitia
hukumu;
na
watu
walio
amini.
Na
hawakuamini
pamoja
naye
ila
wachache
tu.
]
[ حتى إذا جاء أمرنا وفار التنور قلنا احمل فيها من كل زوجين اثنين وأهلك إلا من سبق عليه القول ومن آمن وما آمن معه إلا قليل ] — هود 40