Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.022 നിമിഷങ്ങള്)
#1
At-Tawba
:81
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Walifurahi
walio
achwa
nyuma
kwa
kule
kubakia
kwao
nyuma
na
kumuacha
Mtume
wa
Mwenyezi
Mungu.
Na
walichukia
kupigana
Jihadi
kwa
mali
zao
na
nafsi
zao,
na
wakasema:
Msitoke
nje
katika
joto!
Sema:
Moto
wa
Jahannamu
una
joto
zaidi,
laiti
wangeli
fahamu!
]
[ فرح المخلفون بمقعدهم خلاف رسول الله وكرهوا أن يجاهدوا بأموالهم وأنفسهم في سبيل الله وقالوا لا تنفروا في الحر قل نار جهنم أشد حرا لو كانوا يفقهون ] — التوبة 81