Filter Results
ഫലങ്ങള്: ( 1 വരെ 1 ന്റെ 1 )
(0.024 നിമിഷങ്ങള്)
#1
Al-Hashr
:2
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Yeye
ndiye
aliye
watoa
walio
kufuru
miongoni
mwa
Watu
wa
Kitabu
katika
nyumba
zao
wakati
wa
uhamisho
wa
kwanza.
Hamkudhani
kuwa
watatoka,
nao
walidhani
kuwa
ngome
zao
zitawalinda
na
Mwenyezi
Mungu.
Lakini
Mwenyezi
Mungu
aliwafikia
kwa
mahali
wasipo
patazamia,
na
akatia
woga
katika
nyoyo
zao.
Wakawa
wanazibomoa
nyumba
zao
kwa
mikono
yao
na
mikono
ya
Waumini.
Basi
zingatieni
enyi
wenye
macho!
]
[ هو الذي أخرج الذين كفروا من أهل الكتاب من ديارهم لأول الحشر ما ظننتم أن يخرجوا وظنوا أنهم مانعتهم حصونهم من الله فأتاهم الله من حيث لم يحتسبوا وقذف في قلوبهم الرعب يخربون بيوتهم بأيديهم وأيدي المؤمنين فاعتبروا يا أولي الأبصار ] — الحشر 2