Filter Results
結果: ( 1 に 3 の 3 )
(0.022 秒)
#1
Al-Hajj
:40
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Wale
ambao
wametolewa
majumbani
mwao
pasipo
haki,
ila
kwa
kuwa
wanasema:
Mola
wetu
Mlezi
ni
Mwenyezi
Mungu!
Na
lau
kuwa
Mwenyezi
Mungu
hawakingi
watu
kwa
watu,
basi
hapana
shaka
zingeli
vunjwa
nymba
za
wat'awa,
na
makanisa,
na
masinagogi,
na
misikiti,
ambamo
ndani
yake
jina
la
Mwenyezi
Mungu
linatajwa
kwa
wingi.
Na
bila
ya
shaka
Mwenyezi
Mungu
humsaidia
yule
anaye
msaidia
Yeye.
Hakika
Mwenyezi
Mungu
ni
Mwenye
nguvu
Mtukufu.
]
[ الذين أخرجوا من ديارهم بغير حق إلا أن يقولوا ربنا الله ولولا دفع الله الناس بعضهم ببعض لهدمت صوامع وبيع وصلوات ومساجد يذكر فيها اسم الله كثيرا ولينصرن الله من ينصره إن الله لقوي عزيز ] — الحج 40
#2
Al-Anbiyaa
:22
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Lau
wangeli
kuwamo
humo
miungu
wengine
isipo
kuwa
Mwenyezi
Mungu
basi
bila
ya
shaka
hizo
mbingu
na
ardhi
zingeli
fisidika.
Subahana
'Llah
Ametakasika
Mwenyezi
Mungu,
Bwana
wa
A'rshi
(Kiti
cha
Enzi),
na
hayo
wanayo
yazua.
]
[ لو كان فيهما آلهة إلا الله لفسدتا فسبحان الله رب العرش عما يصفون ] — الأنبياء 22
#3
Al-Muminoon
:71
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani