Filter Results
結果: ( 1 に 3 の 3 )
(0.050 秒)
#1
Fatir
:43
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Kwa
kutakabari
kwao
katika
nchi,
na
kufanya
vitimbi
vya
uovu.
Na
vitimbi
viovu
havimsibu
ila
mwenyewe
aliye
vifanya.
Hebu
hawangojei
yalio
wasibu
watu
wa
kale?
Basi
hutapata
mabadiliko
katika
mtindo
wa
Mwenyezi
Mungu.
Wala
hutapata
mageuko
katika
mwendo
wa
Mwenyezi
Mungu.
]
[ استكبارا في الأرض ومكر السيئ ولا يحيق المكر السيئ إلا بأهله فهل ينظرون إلا سنت الأولين فلن تجد لسنت الله تبديلا ولن تجد لسنت الله تحويلا ] — فاطر 43
#2
At-Tawba
:98
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
katika
Mabedui
hao
wapo
wanao
fikiri
kuwa
wanayo
yatoa
ni
gharama
ya
bure,
na
wanakungojeleeni
mambo
yakugeukieni.
Mageuko
maovu
yatakuwa
juu
yao!
Na
Mwenyezi
Mungu
ni
Mwenye
kusikia
Mwenye
kujua.
]
[ ومن الأعراب من يتخذ ما ينفق مغرما ويتربص بكم الدوائر عليهم دائرة السوء والله سميع عليم ] — التوبة 98
#3
Ash-Sh'araa
:219
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani