Filter Results
結果: ( 1 に 1 の 1 )
(0.023 秒)
#1
At-Tawba
:40
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Ikiwa
nyinyi
hamtamnusuru
Mtume,
basi
Mwenyezi
Mungu
alikwisha
mnusuru
walipo
mtoa
walio
kufuru,
naye
ni
wa
pili
katika
wawili
walipo
kuwa
katika
pango,
naye
akamwambia
sahibu
yake:
Usihuzunike.
Hakika
Mwenyezi
Mungu
yu
pamoja
nasi.
Mwenyezi
Mungu
akamteremshia
utulivu
wake,
na
akamuunga
mkono
kwa
majeshi
msiyo
yaona,
na
akalifanya
neno
la
walio
kufuru
kuwa
chini,
na
Neno
la
Mwenyezi
Mungu
kuwa
ndilo
juu.
Na
Mwenyezi
Mungu
ndiye
Mwenye
nguvu
Mwenye
hikima.
]
[ إلا تنصروه فقد نصره الله إذ أخرجه الذين كفروا ثاني اثنين إذ هما في الغار إذ يقول لصاحبه لا تحزن إن الله معنا فأنزل الله سكينته عليه وأيده بجنود لم تروها وجعل كلمة الذين كفروا السفلى وكلمة الله هي العليا والله عزيز حكيم ] — التوبة 40