Filter Results
Hasil: ( 1 Ke 2 Dari 2 )
(0,033 Kedua)
#1
An-Nisa'
:23
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Mmeharimishiwa
mama
zenu,
na
binti
zenu,
na
dada
zenu,
na
shangazi
zenu,
na
khaalati
zenu,
na
binti
wa
ndugu
mume,
na
binti
wa
dada,
na
mama
zenu
walio
kunyonyesheni,
na
dada
zenu
kwa
kunyonya,
na
mama
wa
wake
zenu,
na
watoto
wenu
wa
kambo
walio
katika
ulinzi
wenu
walio
zaliwa
na
wake
zenu
mlio
waingilia.
Ikiwa
hamkuwaingilia
basi
hapana
lawama
juu
yenu.
(Pia
mmeharimishwa)
wake
wa
watoto
wenu
walio
toka
katika
migongo
yenu.
Na
kuwaoa
pamoja
dada
wawili
isipo
kuwa
yale
yaliyo
kwisha
pita.
Hakika
Mwenyezi
Mungu
ni
Mwenye
kusamehe
Mwenye
kurehemu.
]
[ حرمت عليكم أمهاتكم وبناتكم وأخواتكم وعماتكم وخالاتكم وبنات الأخ وبنات الأخت وأمهاتكم اللاتي أرضعنكم وأخواتكم من الرضاعة وأمهات نسائكم وربائبكم اللاتي في حجوركم من نسائكم اللاتي دخلتم بهن فإن لم تكونوا دخلتم بهن فلا جناح عليكم وحلائل أبنائكم الذين من أصلابكم وأن تجمعوا بين الأختين إلا ما قد سلف إن الله كان غفورا رحيما ] — النساء 23
#2
Maryam
:33
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani