Filter Results
Hasil: ( 1 Ke 1 Dari 1 )
(0,024 Kedua)
#1
Al-Kahf
:57
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
ni
nani
dhaalimu
mkubwa
zaidi
kuliko
yule
anaye
kumbushwa
Ishara
za
Mola
wake
Mlezi,
naye
akazipuuza
na
akasahau
yaliyo
tangulizwa
na
mikono
yake?
Hakika
Sisi
tumeweka
vifuniko
juu
ya
nyoyo
zao
ili
wasifahamu,
na
uziwi
kwenye
masikio
yao.
Na
ukiwaita
kwenye
uwongofu
hawakubali
kabisa
kuongoka.
]
[ ومن أظلم ممن ذكر بآيات ربه فأعرض عنها ونسي ما قدمت يداه إنا جعلنا على قلوبهم أكنة أن يفقهوه وفي آذانهم وقرا وإن تدعهم إلى الهدى فلن يهتدوا إذا أبدا ] — الكهف 57