Filter Results
Hasil: ( 1 Ke 1 Dari 1 )
(0,038 Kedua)
#1
Al Imran
:37
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Tena
Mola
wake
Mlezi
akampokea
kwa
mapokeo
mema
na
akamkuza
makuzo
mema,
na
akamfanya
Zakariya
awe
mlezi
wake.
Kila
mara
Zakariya
alipo
ingia
chumbani
kwake
alimkuta
na
vyakula.
Basi
alimwambia:
Ewe
Maryamu!
Unavipata
wapi
hivi?
Naye
akasema:
Hivi
vinatoka
kwa
Mwenyezi
Mungu;
na
Mwenyezi
Mungu
humruzuku
amtakaye
bila
ya
hisabu.
]
[ فتقبلها ربها بقبول حسن وأنبتها نباتا حسنا وكفلها زكريا كلما دخل عليها زكريا المحراب وجد عندها رزقا قال يا مريم أنى لك هذا قالت هو من عند الله إن الله يرزق من يشاء بغير حساب ] — آل عمران 37