Filter Results
Résultats: ( 1 vers 1 de 1 )
(0,022 secondes)
#1
Al-Ma'idah
:12
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Na
Mwenyezi
Mungu
alifanya
agano
na
Wana
wa
Israili.
Na
tukawateulia
kutokana
nao
wakuu
kumi
na
mbili.
Na
Mwenyezi
Mungu
akasema:
Kwa
yakini
Mimi
ni
pamoja
nanyi.
Mkisali,
na
mkatoa
Zaka,
na
mkawaamini
Mitume
wangu,
na
mkawasaidia,
na
mkamkopesha
Mwenyezi
Mungu
mkopo
mwema,
hapana
shaka
nitakufutieni
maovu
yenu
na
nitakuingizeni
katika
mabustani
yapitayo
mito
kati
yake.
Lakini
atakaye
kufuru
miongoni
mwenu
baada
ya
hayo
bila
ya
shaka
atakuwa
amepotea
njia
iliyo
sawa.
]
[ ولقد أخذ الله ميثاق بني إسرائيل وبعثنا منهم اثني عشر نقيبا وقال الله إني معكم لئن أقمتم الصلاة وآتيتم الزكاة وآمنتم برسلي وعزرتموهم وأقرضتم الله قرضا حسنا لأكفرن عنكم سيئاتكم ولأدخلنكم جنات تجري من تحتها الأنهار فمن كفر بعد ذلك منكم فقد ضل سواء السبيل ] — المائدة 12