Filter Results
Résultats: ( 1 vers 1 de 1 )
(0,022 secondes)
#1
Al-Ma'idah
:5
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Leo
mmehalalishiwa
kila
vilivyo
vizuri.
Na
chakula
cha
walio
pewa
Kitabu
ni
halali
kwenu,
na
chakula
chenu
ni
halali
kwao.
Na
pia
wanawake
wema
miongoni
mwa
Waumini,
na
wanawake
wema
miongoni
mwa
walio
pewa
Kitabu
kabla
yenu,
mtakapo
wapa
mahari
yao,
mkafunga
nao
ndoa,
bila
ya
kufanya
uhasharati
wala
kuwaweka
kinyumba.
Na
anaye
kataa
kuamini
bila
shaka
a'mali
yake
imepotea,
naye
katika
Akhera
atakuwa
miongoni
mwa
wenye
khasara.
]
[ اليوم أحل لكم الطيبات وطعام الذين أوتوا الكتاب حل لكم وطعامكم حل لهم والمحصنات من المؤمنات والمحصنات من الذين أوتوا الكتاب من قبلكم إذا آتيتموهن أجورهن محصنين غير مسافحين ولا متخذي أخدان ومن يكفر بالإيمان فقد حبط عمله وهو في الآخرة من الخاسرين ] — المائدة 5