Filter Results
Résultats: ( 1 vers 1 de 1 )
(0,023 secondes)
#1
An-Nisa'
:127
— SW
, Ali Muhsin Al-Barwani
[
Wanakuuliza
nini
sharia
ya
wanawake.
Sema:
Mwenyezi
Mungu
ana
kutoleeni
fatwa
juu
yao,
na
mnayo
somewa
humu
Kitabuni
kukhusu
mayatima
wanawake
ambao
hamwapi
walicho
andikiwa,
na
mnapenda
kuwaoa,
na
kukhusu
wanyonge
katika
watoto,
na
kwamba
mwasimamie
mayatima
kwa
uadilifu.
Na
kheri
yoyote
mnayo
fanya
Mwenyezi
Mungu
anaijua.
]
[ ويستفتونك في النساء قل الله يفتيكم فيهن وما يتلى عليكم في الكتاب في يتامى النساء اللاتي لا تؤتونهن ما كتب لهن وترغبون أن تنكحوهن والمستضعفين من الولدان وأن تقوموا لليتامى بالقسط وما تفعلوا من خير فإن الله كان به عليما ] — النساء 127